Header Ads

PROFESA MWANDOSYA ATINGA RWANDA NA UJUMBE WA RAIS KIKWETE KWA KAGAME


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
              press@ikulu.go.tz             

Fax: 255-22-2113425

Coat of Arms
PRESIDENT’S OFFICE,
      THE STATE HOUSE,
              P.O. BOX 9120,  
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Mheshimiwa Profesa Mark Mwandosya aliondoka nchini juzi, Jumamosi, Februari 8, 2014, kwenda Rwanda kwa ziara ya wiki moja.
Akiwa nchini Rwanda, Mhe. Mwandosya atapata nafasi ya kujifunza uzoefu wa nchi hiyo kuhusu jinsi inavyopanga na kuendesha udhibiti wa huduma za kiuchumi na kijamii.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.

10 Februari, 2014

No comments:

Powered by Blogger.