Picha Kutoka Chadema:Mkutano wa M4C Operesheni Pamoja Daima,Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Atua Kibaha na Chopa Nakuhutubia Mamia ya Wananchi wa Mji wa Kibaha

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wananchi wa mji wa Kibaha, katika mkutano
wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima, uliofanyika mjini Kibaha, Pwani jana.

Mwenyekiti wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akimkabidhi kadi ya chama
hicho, aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kibaha Mjini,
ambaye pia alikuwa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Kata ya Kongowe,
Joseph Baziry, wakati wa mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima,
uliofanyika mjini Kibaha jana.Picha na Chadema
No comments:
Post a Comment