Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr.Jakaya Kikwete akishuka kwenye ndege
mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe
mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili rasmi mkoani humo tayari kwa
kuongoza maadhimisho ya Miaka 37 ya Chama cha Mapinduzi yanayofanyika
kesho kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, ambapo amepokelewa na
viongozi mbalimbali wa kitaifa wa Chama na Serikali pamoja na wananchi
waliojitokeza katika mapokezi hayo.
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr.Jakaya Kikwete akisalimiana na
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na
Ushirika Mh. Godfrey Zambi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
Songwe.
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dr.Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katikati ni Mkuu wa mkoa wa
Mbeya Mh. Abas Kandoro na Mkuu wa wilaya ya Mbeya mjini Dr. Norman
Sigalla kushoto.
Mwenyekiti
wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dr.Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Marck
Mwandosya Waziri asiyekuwa na Wizara maalum, katikati ni Mkuu wa Wilaya
ya Mbeya Dr. Norman Sigalla na kushoto ni Dr. Harrison Mwakyembe Waziri
wa Uchukuzi.
Mwenyekiti wa Cma Cha Mapinduzi CCM Dr.Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Kamnda wa Polisi mkoa wa Mbeya SACP AHMED Z. MSANGI (PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-MBEYA)
MWENYEKITI WA CCM DR. JAKAYA KIKWETE AWASILI MKOANI MBEYA TAYARI KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM
Reviewed by
crispaseve
on
11:57 PM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment