Kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali chafanyika Leo Mkoani Tanga
Baadhi ya Maafisa Habari na Mawasiliano
waliohudhuria kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano kinachoendelea
Mkoani Tanga
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Elisante ole Gabriel akiongea na Maafisa
Habari na Mawasiliano wakati wa Mkutano wa Maafisa Habari na Mawasiliano
unaoendelea mktoani Tanga, ambapo amewataka kuendelea kutekeleza majukumu yao
kwa ufanisi.
Baadhi ya Maafisa Habari na Mawasiliano wakiwa
kimya kwa ajili ya kuwakumbuka baadhi ya wanataaluma ya habari waliotangualia
mbele ya haki, wakati wa Kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Leo
Mkoani Tanga.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na
Michezo Dkt. Fennela Mukangara akiongea na Maafisa Habari na Mawasiliano
(hawapo pichani) na kuwataka kuendelea kutumia mitandao ya kijamii katika
kuwasiliana na wananchi, wakati wa Kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano
Leo Mkoani Tanga. kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Elisante ole Gabriel na kulia ni
Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni toka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na
Michezo Prof. Hermas Mwansoko
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na
Michezo Dkt. Fennela Mukangara akiteta jambo na Kaimu Mhariri Mtendaji Mkuu wa
Magazeti ya Serikali (TSN) Bw. Gabriel Nderumaki (aliyesimama) wakati wa Kikao
kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Leo Mkoani Tanga.Kulia kwa Waziri ni
Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni toka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na
Michezo Prof. Hermas Mwansoko na Mwisho ni kulia ni Afisa Mkuu Mawasiliano toka
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) Bw. Peter Millanzi.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO)
Bw. Assah Mwambene akiteta jambo na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo
Dkt. Fennela Mukangara, wakati wa Kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano
wa Serikali Leo Mkoani Tanga
Mkuu wa Wizara ya
Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Elisante ole Gabriel akifuatiwa na
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene na mwisho kushoto ni
Afisa Mkuu Mawasiliano toka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) Bw.
Peter Millanzi. Kulia kwa Waziri ni Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni toka
Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko akifuatiwa
na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari( MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa na
mwisho kulia ni Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bi.
Gaudensia Simwanza.PICHA
ZOTE NA HASSAN SILAYO-MAELEZO



No comments:
Post a Comment