Header Ads

PINDA AENDA NYUMBANI KWA MAREHEMU MGIGWA KUKAGUA MAANDALIZI YA MAZISHI NA KUWAPA POLE WAFIWA

IMG_0101nb IMG_0105 IMG_0106Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na  baadhi  ya waombolezaji baada a kuwasili nyumbani kwa  aliyekuwa  Wazri wa Fedha, Dr. William Mgimwa  katia kijiji cha Magunga ambako alikwenda kutoa pole na kukagua maandalizi ya  mazishi Januari 5, 2013. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0108Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Bibi Jane Katingo, Mama Mzazi wa Aliekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa wakati  alipokwenda  nyumbani kwa marehemu huyo katika kijiji cha Magunga, Iringa  kutoa pole na kuangalia maandalizi a mazishi  Januari 5, 20134. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMG_0119Waziri mkuu, Mizengo  Pinda  akizungumza na   jamaa wa karibu wa aliyekuwa waziri wa Fedha, Dr. WilliamMgimwa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu katika kijiiji cha Magunga, Iringa kuwapa pole  wafiwa  na kukagua maadalizi ya  mazishi Desemba 5, 2014. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu) IMG_0123 IMG_0159Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na  baadhi  ya waombolezaji baada a kuwasili nyumbani kwa  aliyekuwa  Wazri wa Fedha, Dr. William Mgimwa  katia kijiji cha Magunga ambako alikwenda kutoa pole na kukagua maandalizi ya  mazishi Januari 5, 2013. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Powered by Blogger.