UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM UDIWANI KATA YA NDULI IRINGA
Katibu wa CCM wilaya ya Iringa mjini na kaimu katibu wa mkoa wa Iringa Hassan Mtenga akimwagiza mstahiki meya kufuatilia fedha za mfuko wa jimbo la fedha zinazotolewa na wafadhili kwa mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji peter Msigwa kwa ajili ya wananchi wa jimbo hilo juzi (picha na Francis Godwin Blog)
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu akimwombea kura mgombea udiwani wa CCM kata ya Nduli Bw Benitho Mtove (hayupo pichani) juzi wakati wa uzinduzi wa kampeni za udiwani kata ya Nduli (picha na Francis Godwin Blog)
Aliyekuwa mshindi wa kura za maoni ndani ya CCM mwaka 2010 Frederick Mwakalebela akimwombea kura mgombea udiwani wa CCM kata ya Nduli Bw Benitho Mtove wakati wa mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM juzi (picha na Francis Godwin
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa (chadema) akimnadi mgombea wa udiwani wa Chadema kata ya Nduli Ayub Mwenda (kulia) siku ya uzinduzi wa kampeni za Chadema kata hiyo ya nduli katika viwanja hivyo hivyo ambavyo CCM imezindua kampeni zake (picha na Francis Godwin Blog)Sehemu ya wananchi wa Nduli wakimsikiliza mbunge Mchungaji Peter Msigwa wakati wa uzinduzi huo wa kampeni za udiwani Chadema kata ya Nduli (picha na Francis GodwinBlog)
No comments:
Post a Comment