Aliyekua Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Shamsi Vuai Nahodha Amkabidhi Rasmi Ofisi Waziri wa Ulinzi na JKT Dkt. Hussein Mwinyi

Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akipokelewa Wizarani na Katibu Mkuu Bw. Job Masima

Mhe.
Mwinyi akisalimiana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali Samuel
Ndomba mara baada ya kuwasili rasmi Wizarani. Kulia kwa Mnadhimu Mkuu ni
Naibu Katibu Mkuu Bibi Mwitango Rose Shelukindo.

Waziri Mwinyi akisalimiana na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo Wizarani.

Aliyekua Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.
Shamsi Vuai Nahodha akisaini Hati ya kukabidhi Wizara ya Ulinzi na JKT kwa Waziri
Mwinyi. Kutoka kulia waliosimama wakishuhudia ni Mnadhimu Mkuu wa JWTZ
Luteni Jenerali Ndomba, Katibu Mkuu Bw. Masima na Mkuu wa JKT Meja
Jenerali Muhuga.

Aliyekua Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.
Shamsi Vuai Nahodha akikabidhi rasmi shughuli za Waziri wa Ulinzi na JKT kwa Mhe. Mwinyi.

Waziri
wa Ulinzi na JKT Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi (wa tatu kutoka kulia) akiwa
na watendaji wakuu wa Wizara ya Ulinzi na JKT na Taasisi zake mara baada
ya kukabidhiwa shughuli za Wizara hiyo.
No comments:
Post a Comment