Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Ahudhuria Kongamano la Wanafunzi wa Chuo cha Chwaka.

Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akipokea
zawadi kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Cha Uongozi wa Fedha Chwaka Bw.
Iddi Haji Makame.

Makamo
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza
wakati wa uzinduzi wa Kongamano la Wanafunzi wa Chuo Cha Fedha,chwaka
kuzungumzia Elimu

No comments:
Post a Comment