Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtoto Andrew Simba(15)
aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati Rais
alipowatembelea na kuwafariji baadhi ya wagonjwa katika wodi ya
Mwaisela leo.(picha na Freddy Maro).
JK AREJEA KUTOKA MAREKANI AENDA MOJA KWA MOJA KUWAFARIJI WAGONJWA MUHIMBILI
Reviewed by
crispaseve
on
10:14 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment