Header Ads

Ziwa la Mwanakwerekwe : Hatuwezi kulibadilisha kuwa kama bustani hii?


 Ziwa la Mwanakwerekwe kwa wawekezaji na wahandisi linaweza kuwa sehemu moja nzuri ya kupumzika kama bustani hii.
Wazanzibari tukiamua tunaweza kuligeuza ziwa la Mwanakwerekwe na kuwa kama bustani hii
Hebu tuitumie neema ya Mola wetu aliyotujaalia nayo ni akili ili na sisi tuwe na eneo kama hili.Tuitumie sherehe ya miaka 50 ya Mapinduzi kuondoa mabaya na uchafu. Miongoni mwa uchafu huo ni ziwa la Mwanakwerekwe. 


Miongoni mwa mazuri ya kuiga ni kuwa na bustani kama hii ya Bridavan iliyopo jimbo la Karnataka, mji wa Mysore, India. Mwandishi wako Mohamed Muombwa

No comments:

Powered by Blogger.