Header Ads

Dk Shein alipotembelea mkoa wa Kusini Pemba

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na watoto wa Kijiji cha Chonga,wakati alipofika kijijini hapo kufungua kituo kipya cha Ununuzi wa Karafuu cha ZSTC,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Pemba kutembelea vituo mbali mbali. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] 
 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na viongozi aliofuatana nao wakipata maelezo kutoka kwa Mpasishaji wa karafuu katika Kituo cha ZSTC Mkoani  Khamis Nassor Mohamed,alipotembela kituo hicho akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Pemba
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na viongozi aliofuatana nao wakipata maelezo kutoka kwa Mdhamini wa  Kituo cha ZSTC Wilaya ya  Mkoani Seif Suleiman Kassim,alipotembela kituo hicho akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Pemba,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na viongozi aliofuatana nao,walipotembela kuangalia hatua za Ujenzi wa Ikulu ya Mkoani,wakati alipofanya ziara katika Mkoa wa Kusini Pemba,
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akitoa maelekezo kwa wahusika wa Ujenzi wakati alipotembelea maendeleo ya ujenzi wa Ikulu ya Mkoan, alipofanya ziara katika Mkoa wa Kusini Pemba

No comments:

Powered by Blogger.