Taswira Za Ziara ya Waziri Mkuu Minzego Pinda Arumeru - Arusha
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizindua mradi wa maji wa Moivaro na Mlangirini wilayani Arumeru
akiwa katika ziara ya siku moja wilayani humo Novemba 19, 2013.
Kushoto ni mkewe Tunu.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wazee kabla ya kuzindua mradi wa
maji wa Moivaro na Mlangirini wilaya Arumeru akiwa katika ziara ya
siku moja wilayani humo Novemba 19, 2013.Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu
No comments:
Post a Comment