Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Afungua Rasmi kituo cha Polisi Mchangamdogo Akiwa katika Ziara Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa,alipowasili
Mchangamdogo kukifungua Kituo cha Polisi, akiwa katika ziara Mkoa wa
Kaskazini Pemba.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akikata utepe kama ishara ya Ufunguzi wa kituo cha Polisi
Mchangamdogo , akiwa katika ziara Mkoa wa Kaskazini Pemba jana
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na wananchi na Jeshi Polisi katika Kituo cha Polisi
Mchangamdogo Wilaya ya Wete,baada ya kikufungua rasmi akiwa katika ziara
Mkoa wa Kaskazini Pemba jana .
Baadhi
ya wananchi wa Shehia ya Mchangamdogo Kaskazini pemba wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na wananchi hao baada ya
kukifungua Kituo cha Polisi katika shehia hiyo jana , akiwa katika ziara
Mkoa wa Kaskazini Pemba jana.Picha na Ramadhan Othman,IKULU-Zanzibar
No comments:
Post a Comment