tangazo la upungufu wa umeme kwenye gridi ya Taifa
Meneja Uhusiano wa Shirika la Umeme
Tanzania (TANESCO) Badra Masoud akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo
pichani) kuhusu kuwepo kwa upungufu wa umeme kwenye gridi ya Taifa kuanzia
tarehe 16 hadi 26 November, 2013 kutokana na upungufu wa gesi kutoka katika
Kisiwa cha Songosongo kilichopo Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi Unaosababishwa
na Matengenezo ya Kiufundi kwenye visima vya gesi unaofanywa na Kampuni ya Pan
Afrika ili kuboresha upatikanaji wa gesi ya kutosha kwenye visima hivyo.
No comments:
Post a Comment