MWILI WA MAREHEMU DK.MVUNGI WAPOKELEWA KWA MAJONZI JIJINI DAR ES SALAAM USIKU HUU
Mwili
wa Marehemu Dk. Sengondo Mvungi ukifanyiwa maombi mara baada ya
kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
Wanachama
wa NCCR-Mageuzi wakiwa wamelibeba sanduku lililohifandhi mwili wa
kiongozi huyo wa NCCR-Mageuzi na Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba
Mpya.
Waombolezaji waliofika uwanjani hapo kuupokea Mwili wa Dk. Mvungi................BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI»
No comments:
Post a Comment