Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana Kwa Mazungumzo na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria atika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Wizara ya Katiba na Sheria,wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti
wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,(hayupo pichani)katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini
Zanzibar

Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
No comments:
Post a Comment