Rais Jakaya Kikwete akutana na viongozi Mbalimbali Colombo Srilanka
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini
mwishoni mwa mkutano wa wakuu wan chi za jumuiya ya Madola uliomalizika
jijini Colombo Srilanka leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na katibu mkuu wa Jumuiya za madola
Dkt.Kamalesh Sharma jijini Colombo Srilanka mwshoni mwa mkutano wa wakuu
wa nchi hizo leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na Waziri Mkuu wa Malaysia Mohamed Najib Abdul Razak
mwishoni mwa mkutano wa jumuiya ya Madola uliofanyika jijini Colombo
Srilanka
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa Australia Tony
Abbott(kushoto) na Waziri Mkuu wa New Zealand John Key(wapili kushoto)
muda mfupi baada ya kumalizika mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya
madola jijini Colombo nchini Srilanka leo mchana.Watatu kushoto pembeni
ya Rais ni Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh.Bernard
Membe.Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment