Rais Kikwete akutana na Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa UN
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zamani wa Ireland
ambaye sasa ni mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa UN eneo la maziwa
makuu,Bibi Mary Robinson ,wakati akimkaribisha ikulu jijini Dar es
Salaam leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa karika mazungumzo na Rais wa Zamani wa
Ireland ambaye sasa ni mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa UN eneo la maziwa
makuu,Bibi Mary Robinson aliemtembelea leo Ikulu jijini Dar es
Salaam.(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment