MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MAJADILIANO, WIKI YA SERA ZA KUONDOA UMASKINI JIJINI DAR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano na Wiki
ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius
Nyerere jijini Dar es Salaam, leo.
Naibu
Waziri wa Fedha Saada Salum,akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano
huo, kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kwa ufunguzi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akijumuika na baadhi ya Viongozi na wadau katika na Mkutano wa
Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye
Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo.
Baadhi ya wadau walioshiriki katika mkutano huo wa majadiliano.Picha na OMR
No comments:
Post a Comment