RAIS KIKWETE AKUTANA MA JOPO LA USULUHISHI WA MIGOGORO
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea mbele jopo la Marais wastaafu wa Afrika
kuhusu linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mhe Joaquim Chissano
anayefuatana na Rais Mstaafu wa Botswana Mhe Festus Mogae leo Novemba
25, 2013 Ikulu jijjini Dar es salaam. Mhe. Chissano, ambaye ni
mwenyekiti wa Jopo
hilo pamoja na Mhe Mogae, walifika Ikulu kusikiliza upande wa Tanzania
kuhusu mgogoro wa mpaka na nchi ya Malawi, baada ya kufanya hivyo hivi
karibuni
huko Blantyre.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment