MAKAMU WA RAIS AKABIDHI TUZO KWA WATANZANIA WALIO MSTARI WA MBELE KATIKA KUBORESHA AFYA YA MAMA NA MTOTO, JIJINI DAR LEO
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati wa hafl ya kutoa Tuzo kwa Watanzania walio
mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika
kwenye Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib
Bilal,akimkabidhi Tuzo, Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi,
wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele
katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya
Karimjee, jijini Dar es Salaam,leo. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mery Nagu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib
Bilal,akimkabidhi Tuzo,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na
Uwezeshaji, Dkt. Mery Nagu, aliyepokea kwa niaba ya Rais Mstaafu wa
awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa
Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto,
iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam,leo.
Wengine waliokuwa katika orodha hiyo ya kukabidhiwa tuzo hizo ni pamoja
na Rais Jakata Kikwete, Mama Salma Kikwete, Rais Mstaafu wa awamu ya
tatu, Benjamin Mkapa, Sofia Simba, na wengineo
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Ghari Bilal,
akimkabidhi Tuzo, Dkt. Faraji Mkwakwacha, wakati wa hafla ya utoaji wa
Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama
na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es
Salaam,leo. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na
Uwezeshaji, Dkt. Mery Nagu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib
Bilal,akimkabidhi Tuzo, Nesi Yasinta Baruti, kutoka Mkoa wa Katavi,
wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele
katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya
Karimjee, jijini Dar es Salaam,leo. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mery Nagu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib
Bilal,akimkabidhi Tuzo, Elia Elikana, kutoka mkoa wa Singida ambaye ni
mwanaume aliyepata tuzo hiyo kwa kumsindikiza mkewe Kliniki mara nyingi,
wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele
katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya
Karimjee, jijini Dar es Salaam,leo.
Picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Taasisi ya Madaktari wahitimu Tanzania na waliopata Tuzo.
Picha ya pamoja na wanamuziki wa Sikinde, waliokuwa wakitoa burudani katika hafla hiyo.
No comments:
Post a Comment