Rais Kikwete arejea nchini leo akitokea Poland
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakilakiwa na mkuu
wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik(kushoto) muda mfupi baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere jijini Dar es Salaaam leo jioni.Rais Kikwete amerejea nchini
akitokea Warsaw Poland ambapo alihudhuria mkutano wa Mabadiliko ya Tabia
nchi Duniani na awali wiki iliyopita alikuwa nchini Srilanka kuhudhuria
mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Madola.(picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment