KINANA NA UJUMBE WAKE AWASILI WILAYANI RUNGWE TAYARI KWA ZIARA YAKE
Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi
mbalimbali wa chama hicho mara baada ya kuwasili mpakani mwa Wilaya
ya Kyela na Rungwe mapema leo asubuhi,wakati ujumbe huo ulipokuwa
ukiwasili wilayani Rugwe kwa ziara ya siku 11 ndani ya mkoa wa
Mbeya.pichani shoto sambamba ni Katibu wa NEC,Itikasi na Uenezi ,Nape
Nnauye akisalimiana na wanachama wa CCM.
Kada
Maarufu wa CCM,Bwa. Richard kasesela akisalimiana na Katibu wa NEC,Siasa
na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt.Asharose Migiro mara baada ya kuwasili
mpakani mwa Wilaya ya Kyela na Rungwe
mapema leo asubuhi,wakati ujumbe huo ulipokuwa ukiwasili wilayani Rugwe
kwa ziara ya siku 11 ndani ya mkoa wa Mbeya.pichani shoto sambamba ni
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi ,Nape Nnauye akisalimiana na wanachama
wa CCM.
"Karibu sana nyumbani Kaka Nape"...Kada Maarufu wa CCM,Bwa. Richard kasesela akisalimiana Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi ,Nape Nnauye
Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana na ujumbe wake (haupo pichani)
akizungumza na Wajumbe Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ndani ya ukumbi
wa Halmashauri kuu ya Rungwe mapema leo.
Msafara
wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana na Ujumbe wake
ukipokelewa mpakani mwa Wilaya ya Kyela na Rungwe mapema leo
asubuhi,wakati ujumbe huo ulipokuwa ukiwasili wilayani Rugwe kwa ziara
ya siku 11 ndani ya mkoa wa Mbeya.
No comments:
Post a Comment