KINANA ATIKISA KYELA, WENGI WAHUDHURIA MIKUTANO YAKE
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi
katika kata ya Ipinda, wilayani Kyela mkoani Mbeya, Nov 24, 2013,
alipowasili katika kata hiyo akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji
wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kushirikiana nao njia ya
kuzitatua.
Maelfu wa wananchi wakimsikiliza Katibu wa NEC, Itikadi na Unezi Nape
Nnauye kwenye mkutano wa CCM uliofanyika Kata ya Ipinda, wilayani Kyela
mkoani Mbeya, Nov 24, 2013.
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akihutubia maelfu ya wananchi
katika kata ya Ipinda, wilayani Kyela mkoani Mbeya, Nov 24, 2013,
Wakati Katubu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alipowasili katika kata
hiyo akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM,
kusikiliza kero za wananchi na kushirikiana nao njia ya kuzitatua.
Katibu Mkuu wa CCM, akikagua mradi wa maendeleo ya Ujenzi wa jengo la
huduma za wenye virusi vya Ukimwi,katika Hospitali ya wilaya ya Kyela
mkoani Mbeya, Nov 24, 2013, alipowasili katika wilaya hiyo akiwa katika
ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za
wananchi na kushirikiana nao njia ya kuzitatua. Kushoto ni Katibu wa CCM
mkoa wa Mbeya, Maganga Sengerema na Katibu wa NEC, Itikati na Uenezi
Nape Nnauye.
Baba, Raphael Simon (kulia) na mtoto wake, Simon Raphael waliokuwa
wanachama wa Chadema, wakiwa na kadi za Chama hicho kabla ya kumkabidhi
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati), katika mkutano wa
shina, uliofanyika nyumbani kwa Mjumbe wa shina la Menasi Ndoma, Kata
ya Matema, Kyela mkoani Mbeya, Nov 24, 2013.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiwa na Mjumbe wa Shina, Menas
Ndomba, baada ya kuwasili nyumbani kwa mjumbe wa shina hilo, katika
kata ya Matema, wilayani Kyela mkoani Mbeya, Nov 24, 2013. alipowasili
katika kata hiyo akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya
CCM, kusikiliza kero za wananchi na kushirikiana nao njia ya kuzitatua.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa KImataifa, Dk. Asha-Rose (watatu
kushoto waliokaa), na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
(katikati) wakiwa na wananchi, nyumbani kwa mjumbe wa shina, Nemas
Ndoma, Kata ya Matema, wilayani Kyela mkoani Mbeya, Nov 24, 2013, wakati
Katibu Mkuu wa CCM alipowasili nyumbani kwa mjumbe huyo wa shina, akiwa
katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za
wananchi na kushirikiana nao njia ya kuzitatua.
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya Dk. Mary Mwanjelwa, akilala chini
mbele ya wananchi nyumbani kwa mjumbe wa shina, Menasi Ndoma,
kuwashukuru kwa mapokezi mazuri ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman
Kinana (kulia), alipowasili katika shina hilo akiwa katika ziara ya
kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na
kushirikiana nao njia ya kuzitatua.
Kupenda watoto: Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akichezea
'kigari' cha watoto Asifiwe Mwambene na John Asimwisye, alipokutana nao
njiani akiwa katika ziara, ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM,
kusikiliza kero za wananchi na kushirikiana nao njia ya kuzitatua,
katika Kata ya Matema, wilayani Kyela mkoani Mbeya, Nov 24, 2013.
No comments:
Post a Comment