CHINA WAIPA TSN PIKIPIKI 20 KUSAIDIA JITIHADA ZAKE ZA KUKUZA ELIMU NCHINI
Waziri
wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara
(kushoto) akipeana mkono na Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu
Younqing wakati akipokea Msaada wa Pikipiki 20 zilizotolewa kwa Kampuni
ya Uchapishaji wa Magazeti ya Serikali (Tanzania Standard
Newspapers),wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo nje ya Jengo la Golden
Jubilee,Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa
TSN,Gabriel Nderumaki.
Waziri
wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara
(kushoto) na Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu Younqing wakiwa
wamepanda pikikipi hizo ikiwa ni ishara ya kuzizindua kwa ajili ya
Matumizi.........BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI»
No comments:
Post a Comment