Header Ads

RC NJOMBE AWATAKA WANASIASA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII MIJINI (TIKA)

 Kaimu meneja  wa mfuko  wa Taifa  wa  bima ya afya  (NHIF) mkoa  wa  Iringa Emmanuel  W. Mwikwabe (kulia ) akitoa  ufafanuzi  wa jambo mbele ya mkuu  wa mkoa wa Njombe kepten Mstaafu Asser Msangi kushoto leo nje ya  ukumbi wa RC Makambako
 Mkuu  wa  wilaya ya Njombe  Sarah Dumba  (kushoto) akiteta jambo na mmoja kati ya watenda kazi wa NHIF Iringa nje ya  ukumbi wa RC Makambako
 Utambulisho wa  wageni mbali mbali  waliofika katika  warsha  hiyo ukifanyika
 Washiriki  wa  warsha  hiyo ya mfuko wa Afya  ya jamii mjini (TIKA) mjia Makambako  leo
 Meneja  wa mfuko  wa Taifa  wa  bima ya afya  (NHIF) mkoa  wa  Iringa Emmanuel  W. Mwikwabe akieleza  faida  ya TIKA mbele  ya washiriki.

No comments:

Powered by Blogger.