Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka azindua rasmi majengo ya Mchikichini jijini Dar es Salaam
Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka akizindua rasmi Ujenzi wa
Nyumba za Makazi za NHC Mchikichini Jijini Dar es Salaam kwa kuweka
jiwe la msingi katika katika mojawapo ya majengo ya majengo hayo ikiwa
ni mojawapo ya maadhimisho ya miaka hamsini ya Shirika la Nyumba la
Taifa (NHC) , baada ya uwekaji wa jiwe la msingi alikagua ujenzi wa
mradi huo wa nyumba.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia
Mchechu akizungumza na MC maarufu nchini na Mtangazaji wa Kipindi cha
Maisha ni Nyumba, Ephraim Kibonde (picha ya juu) pamoja na mtangazaji wa
TBC (picha ya chini) baada ya uzinduzi rasmi wa Ujenzi wa Nyumba za
Makazi za NHC Mchikichini Jijini Dar es Salaam ikiwa ni mojawapo ya
maadhimisho ya miaka hamsini ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) , baada
ya uwekaji wa jiwe la msingi alikagua ujenzi wa mradi huo wa nyumba.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka jana amezindua rasmi majengo ya makazi ya Mchikichi yaliyopo Mchikichini jijini Dar es Salaam katika tukio lililowakutanisha wadau mbalimbali nchini wakiwamo wanasiasa, wafanyakazi wa NHC, wadau wa sekta ya uendelezaji miliki

No comments:
Post a Comment