RAIS KIKWETE AKUTANA NA MWENYEKITI WA KANU GIDEON MOI JIJINI NAIROBI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akizungumza na Mwenyekiti wa chama cha KANU Mhe Gideon Moi
aliyemtembelea leo Novemba 29, 2012 katika hoteli ya Nairobi Serena
jijini Nairobi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimsindikiza Mwenyekiti wa chama cha KANU Mhe Gideon Moi aliyemtembelea
na kufanya naye mazungumzo leo Novemba 29, 2012 katika hoteli ya
Nairobi Serena jijini Nairobi PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment