Naibu
wa Wizara ya Fedha Dr. Saada M. Salum akifungua kongamano la pili la
mwaka kwa wadau wa Takwimu nchini jana jijini Dar es Salaam., ambapo
amewasisitiza wadau kutumia takwimu zilizo sahihi.
Baadhi ya wadau wa kongamano la TAKWIMU nchini wakiteta jambo katika kongamano hilo jana Mkurugenzi
wa Takwimu nchini Morrice Oyuke (pichani) akisoma hotuba
ya kumwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa TAKWIMU nchini Dr. Albina Chuwa (
hayupo pichani) katika kongamano la pili la mwaka la wadau wa TAKWIMU
nchini jana jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi
kutoka Benki ya Dunia Thomas Danielewitz akitoa hotuba yake leo jijini
Dar es Salaam katika ufunguzi wa kongamano la pili la mwaka kwa
Wadau wa Takwimu nchini. Kongamano hilo la siku moja limefunguliwa na
Naibu Waziri wa Fedha Dr, Saada M. Salum (hayupo Pichani)
Baadhi
ya washiriki wa kongamano la pili la mwaka unaowashirikisha Wadau wa
Takwimu nchini wakimsikilza Naibu Waziri wa Fedha Dr. Saada M. Salum
(hayupo pichani) katika ufunguzi leo jijini Dar es Salaam (Picha na
Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).
Baadhi
ya washiriki wa kongamano la pili la mwaka unaowashirikisha Wadau wa
Takwimu nchini wakimsikilza Naibu Waziri wa Fedha Dr. Saada M. Salum
(hayupo pichani) katika ufunguzi jana jijini Dar es Salaam
Baadhi ya washiriki wa kongamano la pili la mwaka unaowashirikisha
Wadau wa Takwimu nchini wakimsikilza Naibu Waziri wa Fedha Dr. Saada
M. Salum (hayupo pichani) katika ufunguzi jana jijini Dar es Salaam
(Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).
No comments:
Post a Comment