Spika
wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (kushoto) na Naibu Spika Mhe.
Job Ndugai (Mb) kwa pamoja wakiwa na mazungumzo ya kina leo na ujumbe
wa Tume ya Huduma za Bunge la Malawi ulioko nchini hivi sasa, ambapo
pamoja na mambo mengine walizungumzia uhusiano mzuri wa mabunge ya nchi
mbili hizi. Kushoto kwa Mhe. Ndugai ni Naibu Spika wa Bunge la Malawi
Mhe.Juliana Mpande (Mb) ambaye ni mkuu wa msafara. Wengine ni Kamishna
Alfred Mwechumu (Mb) na Kamishna Christina Chiwowo (Mb).
Spika
wa Bunge la Tanzania akiwa na mazungumzo na Uongozi wa Serikali ya
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam waliofika ofisini kwake
Dodoma leo. Spika Makinda amewataka na kuwaasa kuwa na uzalendo kwa
nchi yao.
No comments:
Post a Comment