JK ALIPOSHIRIKI MSIBA WA RAIS WA GHANA MILLS
Jukwaa kuu katika uwanja wa Independence Square wakati wa Shughuli
mbalimbali za mazishi za aliyekuwa Rais wa Ghana Profesa John Evans
Atta Mills katika uwanja wa Independence Square jijini Accra leo Agosti
10, 2o12
Shughuli mbalimbali za mazishi za aliyekuwa Rais wa Ghana Profesa John
Evans Atta Mills katika uwanja wa Independence Square jijini Accra leo
Agosti 10, 2o12
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie baada ya shughuli ya
mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana jijini Accra leo Agosti
10, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo wakati
shughuli ya mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana katika ukumbi
wa Mikutano wa Ghana jijini Accra leo Agosti 10, 2012.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima kwa aliyekuwa Rais wa Ghana
Marehemu Profesa John Evans Atta Mills katika ukumbi wa Mikutano wa
Ghana jijini Accra leo Agosti 10, 2012.










No comments:
Post a Comment