YANGA SI RIZKI MISRI, YATANDIKWA 1-0 NA ZAMALEK
Timu
ya Yanga kutoka Tanzania imepata kichapo cha goli moja kwa bila na
timu ya Zamalek ya Misri leo , katika mchezo uliofanyika nchini humo
ikiwa ni michuano ya Klabu Bingwa Afrika, wiki mbili zilizopita hapa
jijini Dar es salaam Zamalek iliilazimisha Yanga kwa kufungana goli 1-1
kwenye uwanja wa |Taifa kwa matokeo ya leo ina maana Zamalek imeifunga
Yanga magoli 3-1 na kuitupa nje ya mashindano hayo

No comments:
Post a Comment