Header Ads

DK KAWAMBWA AZINDUA KAMPENI YA TIGOTUCHANGE

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, dkt, Shukulu Kawambwa akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Kampeni ya tigo tuchange leo kulia ni Meneja Mkuu Msaidizi wa Kampuni ya Tigo,Diego Gutierrez na Mwakilishi wa Hassan Majaar Trust, Zena Tenga

Baadhi ya waandamanaji waliojitokeza katika Kampeni ya Tigo Tuchange itakayoanza saa 5 mpaka 6 kwa kutumia tigo rusha pesa zote zitakazopatikana kwa mda huo zitanunua madawati kwa wanafunzi wa Tanzania. Maandamano hayo yalifanyika  Ubungo, Dar es Salaam. (NA MPIGAPICHA WETU)

No comments:

Powered by Blogger.