SHEREHE YA WANAWAKE YAFANA SERENA DAR ES SALAAM
Mgeni
rasmi wa Sherehe ya Wanawake Ummy Mwalim ambaye ni Naibu Waziri wa
Wanawake Jinsia na Watoto kulia akiwa katika picha ya pamoja na Mbunge
wa viti maalum CCM Arusha Catherine Magige, kushoto, wakati wa Sherehe
hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena Dar es salaam jana ikiwa ni
sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani, inayotarajiwa
kufanyika Machi 8,2012 duniani kote, aliyesimama nyuma katika picha ni
Shamimu Mwasha wandaaji wa sherehe hiyo na a mwendeshaji wa blog ya http://8020fashions.blogspot.com/
Shamimu Mwasha katikati kulia ni Mwamvita Makamba Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania na Mwamvua Mlangwa Meneja wa mradi wa Mwei Vodacom Tanzania.








No comments:
Post a Comment