SIMBA INAOONGOZA MABAO 2-0 DHIDI YA KIYOVU YA RWANDA
Mashabiki
wa Simba wakiwa na furaha kabla ya kuanza kwa mechi dhidi ya Kiyovu Fc
ya Rwanda katika michuano ya kuwania Kombe la Shirikisho Afrika leo
kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Simba sasa inaongoza mabao 2-0
Wachezaji wa Kiyovu ya Rwanda wakiomba dua muda mfupi kabla ya kuanza kipute dhidi ya Simba. Kwa hisani ya Blog ya Jamii


No comments:
Post a Comment