Header Ads

UZINDUZI WA SIMBA TV WAFANA USIKU WA KUAMKIA LEO

Keki yenyewe ilivyokuwa imenoga.
Nianze nani kumlisha jamaani....! Mwenyekiiiiitiiiiiiiiii.
Mgeni rasmi,Naibu Waziri wa Nchi,Ofis ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (TAMISEMI),Kassim Majaliwa akikata keki huku sehemu ya meza kuu ikishuhudia tukio hilo adhimu na ka kihistoria.
 
Mwenyekiti Msaidizi Simba SC Geofrey Nyange 'Kaburu'  akizungumza wakati wa kuwakaribisha wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye hafla hiyo usiku wa kuamkia leo.
Wadau na washabiki wa Simba wakiburudika na vinywaji taratiibu.
Kwa Chanzo na Picha Zaidi <<< BOFYA HAPA >>>

No comments:

Powered by Blogger.