TETESI: MADAKTARI KURUDI KWENYE MGOMO JUMATANO
Madaktari wametangaza kurudi tena kwenye mgomo,hiyo ni baada ya kikao
chao kilichofanyika leo Jumamosi hii kwenye ukumbi wa Water
Front,wamesema kwamba ifikapo jumatano saa mbili ahsubuhi kama serikali
ikishindwa kuwasimamisha au kuwaondoa kwenye madaraka Waziri wa afya Mh
Haji Mponda na katibu wake watarudi kwenye mgomo.Mtandao wa LUKAZA BLOG utaendelea
kukupa habari kuhusiana na swala hili kadri tutakapozidi kuzipata.
No comments:
Post a Comment