Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na
Balozi wa Uturuki Nchini, Bw. Ali Davutoglu, kabla ya mazungumzo yao,
Ofisini kwake jijini Dar es salaam March 5, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na
Balozi wa Ufaransa nchini, Bw. Marcel Escure kabla y amzungumzo yao,
ofisini kwake jijini Dar es salaam March 5, 2012.

Waziri Mkuu,. Mizengo Pinda akizungumza na
Balozi wa Ufaransa nchini,. Bw. Marcel Escure, Ofisini kwake jijini Dar
es salaam March 5, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment