Header Ads

MAOFISA MICHEZO WATANO WAENDA MAFUNZONI INDIA

Kaimu balozi wa India nchini Tanzania Bi. Hemalatha Burgimath akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Michezo na maafisa michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo mara baada ya hafla fupi ya kuwakabidhi nyaraka za kusafiria kwenda nchini India maafisa Michezo 5 kutoka mikoa mbalimbali.
Kaimu Balozi wa India nchini, Hemalatha Burgimath (kulia) akimkabidhi nyaraka za kusafiria  Neema Msita ambaye ni miongoni mwa maofisa michezo watano wanaokwenda nchini India kujifunza program mbalimbali za Michezo. Makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya Ubalozi wa India, Dar es salaam  na kushuhudiwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya  Michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juliana Yasoda (katikati). (PICHA NA ARON MSIGWA)

No comments:

Powered by Blogger.