DALADALA ZAGONGANA USO KWA USO JIJINI MBEYA NA KUJERUHI ZAIDI YA WATU KUMI
Muda
mfupi baada ya ajali kutokea
Polisi wakiwa wamefikaeneo la tukio
kwa ajili ya kupima
Hivi ndivyo Ajali inavyo onekana
Moja ya daladala hizo ambayo
inaonekana ikiwa imeharibika baada ya ajali hiyo.Chanzo;mbeya yetu Blog




No comments:
Post a Comment