WANANCHI WAWAFANYIA VURUGU POLISI WAKATI WAKIENDA KUUFANYIA UCHUNGUZI MWILI WA MWANAFUNZI ALIYEUWAWA KWA KUTHUMUMIWA KUIBA SIMU WILAYANI CHUNYA
| Moja wa maaskari wa kutuliza fujo akiwa amejeruhiwa kwa kupigwa mawe na wananchi hao wa chunya |
| Kijana huyu rasi ni moja wa vijana waliokuwa wakiwazuia polisi wasichukue mwili wa marehemu |
| Wananchi wakiwatupia mawe polisi |
| Mji mdogo wa chunya ukiwa hauna hata mtu mmoja anaeonekana maeneo waliopo polisi. Chanzo;Mbeya Yetu Blog |
No comments:
Post a Comment