WAMILIKI WA MAGAZETI INAWAHUSU HII....MPO?
Juzi
Februari 26,2012 siku ya kwanza ya kuuzwa kwa gazeti la Sunday Sun la
Uingereza limeweza kununuliwa nakala milioni 3 kwa siku- Hii imeelezwa
na mmiliki wake Rupert Murdoch katika tweet yake jana usiku.
Swali:
Lini magazeti ya Tanzania yatafika huko? au yatabaki
kulalamika tu kuwa Blogs zinauwa soko lao. Tafakari- changia mawazo hapa
nini kifanyike tufike huko
.Picha na Habari Kwa Hisani ya Father Kidevu Blog
No comments:
Post a Comment