Askari
wakimdhibiti mmoja wa vijana walioandamana mjini songea leo, wakipinga
kitendo cha wenzao kuawa na watu wasiokjulikana. Mpaka sasa indaiwa Watu
watatu wameshauawa kwenye maandamano hayo. (PICHA NA MUHIDIN AMRI)
Polisi wakiondoa magogo yaliyokuwa yamewekwa na waandamanaji mjiniSongea leo
Askari wakiondoa mkokoteni barabarani
Polisi
wakiwa wamewaweka chini ya ulinzi baandhi ya vijana walioandamana mjini
Songea leo kuishinikiza Serikali kufanya uchunguzi wa haraka wa vifo
vya watu wanaouawa na watu wasiojulikana ambapo inadaiwa kuwa baadhi ya
maiti zinapatikana zikiwa zimenyofolewa sehemu za siri
Reviewed by
crispaseve
on
5:46 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment