KAMATI YA ULINZI NA USALAMA RUVUMA YAKAA KIKAO KUJADILI MAUAJI YALIYOIKUMBA SONGEA
Mwenyekiti
wa Kamati ya Ulinzi ya Mkoa wa Ruvuma, ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa huo,
Said Mwambungu akizungumza katika mkutano na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi
na Usalama baada ya kutokea mauaji wakati wa maandamano ya wananchi ya
kupinga mauaji ya watu kwa imani za kishirikina.. Kulia ni Mkuu wa
Wilaya ya Songea, Thomas Sabaya.
No comments:
Post a Comment