Header Ads

UWANJA NDENGE SONGWE MBEYA NI KITENDAWILI KISICHO NA MAJIBU

Hili ni jengo la kupokelea abiria mpaka sasa uwanja huu haujulikani utakamilika lini kwani toka mwaka jana walisema mwezi wa kumi na mbili 12 utaanza kufanya kazi lakini mpaka sasa uwanja huo unaendelea kujengwa na haijulikani utakamilika lini

Hii ni barabara ya kutua na kurukia ndege ikiwa imekamilika


Hii ndiyo hali ya halisi ya uwanjani hapo kitendawili chake hatujui kitateguliwa lini


No comments:

Powered by Blogger.