VODACOM FOUNDATION YAKARABATI KITUO CHA POLISI MTO WA MBU
Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba,akikata utepe wakati wa uzinduzi rasmi wa kituo cha Polisi Mto wa Mbu kilichopo Wilaya
ya Monduli Mkoani Arusha kilichokarabatiwa na Vodacom Foundation kwa
mara ya kwanza tangia kijengwe mwaka 1967,kwa gharama ya shilingi
milioni 17.Kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Thobias Andengenye na kulia ni Mkuu wa Vodacom Kanda ya kaskazin Nguvu Kamando.
Hichi
ni Kituo cha Polisi Cha Mto wa Mbu kilichopo Wilaya ya Monduli Mkoani
Arusha kikionekana katika muonekano mpya baada ya kukarabatiwa na
kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kiasi cha shilingi
Milioni 17 kwa mara ya kwanza tangu kijengwe mwaka 1967.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Arusha (RPC) Thobiasi Andengenye akimkaribisha Ofisa
Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba,wakati
wa hafla ya kukabidhiwa kituo cha Mto wa Mbu kilichopo Wilaya ya Monduli
Mkoani Arusha , kilichokarabatiwa kwa mara ya kwanza na Vodacom
Tanzania kwa thamani ya Shilingi Milioni 17 tangia kijengwe mwaka
1967.katikati ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Karatu ( OCD ) Mathias Nyange.
Mkuu
wa Kituo cha Mto wa Mbu kilichopo Wilaya ya Monduli
Arusha.(INSP)Amilton Matangi akiwaonyesha moja ya chumba cha mahabusu
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Thobias Andengenye kulia na Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Arusha Thobias Andengenye kushoto akisalimiana na
Mkuu wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini Nguvu Kamando kulia wakati
wa hafla ya uzinduzi wa kituo cha Polisi cha Mto wa Mbu
kilichokarabatiwa na Vodacom Foundation katikati ni Ofisa Mkuu wa Masoko
na Mahusiano wa kampuni hiyo Mwamvita Makamba akishuhudia, Jumla ya
shilingi Milioni17.zimetumika katika ukarabati wa kituo hicho kwa mara
ya kwanza tangu kijengwe mwaka 1967.
No comments:
Post a Comment