TBL KUANZA KUTUMIA BARCODES KWENYE BIDHAA ZAKE
Mkurugenzi
wa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kushoto),
akipokea mfano wa nembo ya mistari kwenye bidhaa ya Tanzania (BARCODES)
kutoka kwa Mkurugenzi wa Uhamasishaji Bidhaa wa Wizara ya Viwanda na
Biashara, Odilo Majengo Kaimu katika uzinduzi wa nembo hizo, Dar es
Salaam. TBL ni moja ya kampuni kubwa nchini itakayoanza kutumia nembo
hizo za Tanzania zinazotengenezwa na kampuni ya GSI Tanzania National
Limited. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo akizungumza wakati wa hafla hiyo
Kilindo (kushoto) akipongezwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Sekta Binafsi (TPSF), Godfey Simbeye
No comments:
Post a Comment