BENDI YA MACHOZI YA LADY JAY DEE YAPATA NEMBO YA BIDHAA BARCODES
Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Sekta Binafsi (TPSF), Godfey Simbeye
(kulia) akimkabidhi Gadna Habash kiongozi wa Bendi ya Machozi, ya Judith
Wambura Lady Jay Dee, nembo ya mistari ya bidhaa BARCODES katika
hafla iliyofanyika, Dar es Salaam. Nembo hiyo imetengezwa na kampuni ya
GSI
Gadna akizungumza baada ya kupokea nembo hiyo ya biashara
No comments:
Post a Comment