Header Ads

MPIGAPICHA JOHN BADI WA THIS DAY AFIWA NA MAMA MZAZI

Wapendwa naomba niwafikishie taarifa ya Msiba wa Mama yake Mzazi John Hans Badi - Mpigapicha wa Magazeti ya This Day na Kulikoni.
Kifo kilitokea jana jioni katika Hospitali ya Agakhan jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa.

Msiba upo Morocco kama unaelekea Kawe mkono wa kushoto ukitoka tu katika mataa.
Mawasiliano zaidi John H Badi 0712155221. Tumpe faraja ndugu yetu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
Mroki Mroki C.E.O MD Digital Company & FK Blog
General Secretary PPAT
Professional Photojournalist & BLOGGER
P.O.BOX 110097,

Mob: +255 755 373999
/+255 717 002303,
Email: mrokim@gmail.com.

Blog: www.mrokim.blogspot.com
DAR ES SALAAM, TANZANIA

No comments:

Powered by Blogger.