SEMINA YA WASHIRIKI WA MASHINDANO YA SAFARI LAGER NYAMA CHOMA
Jaji
Mkuu wa Mashindano ya Safari Lager Nyama Choma, Dougals Sakibu.
(kushoto) akizungumzia kuhusu semina ya baa 20 zitakazo shindanishwa
katika Mkoa wa Dar es Salaam hivi karibuni. kulia ni Jaji Msaidizi wa
mashindano hayo, Lawrence Salvi.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika semina iliyowashirikisha wafanyakazi wa majiko ya baa 20 mkoa wa Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment